Success, we'll get back to you
Back to news

NIC Yapata Tuzo ya Superbrand kwa Mara ya Pili Mfululizo

SHARE

NIC imepata tuzo ya Superbrand kwa mara ya pili mfululizo, tuzo inayotambua taasisi zinazoaminika zaidi kwa ubora wa huduma, sifa njema, na uongozi katika soko.


Tuzo hiyo ilitolewa katika hafla ya Superbrands Tribute iliyofanyika Nairobi, Kenya, mwishoni mwa juma ambapo NIC iliwakilishwa na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano, Karimu Meshack, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Kaimu Abdi Mkeyenge.


Mafanikio haya yanaendana na Mpango Mkakati wa NIC 2026-2030 na Dira ya Taifa 2050, ukisisitiza dhamira ya NIC ya kuendelea kuwahudumia Watanzania kwa uaminifu na ubora.


@2026

National Insurance Corporation of Tanzania Limited