Ahsante kwa Wafuasi 20,000 kwenye ukurasa wetu wa Instagram na kuwa kampuni kiongozi kwenye sekta ya BIMA kufikisha idadi ya wafuasi (Followers) 20,000 #sisindiyobima
NIC tunaendelea kutumia majukwaa haya ya kidigital kutoa elimu na huduma za bima ili kufikia lengo la kuwa na idadi kubwa ya watumia huduma za bima nchini.