Success, we'll get back to you
Back to news

Makabidhiano

SHARE

Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji Dr. Elirehema Doriye kufuatia mabadiliko madogo yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.#NICat60 #Sisindiyobima #superbrands #nicinsurance #isocertified90012015